Loading Events

Chuo Kikuu cha Murang’a kitakuwa mwenyeji wa Kongamano la CHAKITA (Chama cha Kiswahili cha Taifa) litakalofanyika mnamo tarehe 12 na 13 mwezi wa Machi mwaka huu. Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni Kiswahili na Masuala Mtambuko katika Karne ya Ishirini na Moja. Kongamano hilo ni muhimu sio tu kwa chuo mbali kwa taifa nzima na kwa wataalamu wa lugha ya Kiswahili. Aidha, wanafunzi wa vyuo vikuu watapata fursa ya kutangamana na wataalamu wa lugha ya Kiswahili na kunoa ujuzi wao katika utafiti.

Details

  • Start: March 12 @ 8:00 am
  • End: March 13 @ 5:00 pm
  • Event Categories: ,

Organizers

  • Murang’a University of Technology
  • CHAKITA